- hakikishia
- [Swahili Word] -hakikishia[English Word] confirm to someone[Part of Speech] verb[Class] applicative[Swahili Example] wataalamu wa mambo ya mapenzi wametuhakikishia kuwa kupenda ni kazi ya moyo, macho ni shahidi tu [Sul], akamhakikishie mapenzi yake [Sul]------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.